Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huduma ya Taifa ya Polisi (NPS) imepuuzilia mbali madai yanayowahusisha maafisa wake katika visa mbalimbali vya utekaji nyara vilivyoripotiwa nchini. Kupitia kwa msemaji wake Muchiri Nyaga, huduma hiyo imetaja madai…