Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kaunti ndogo ya Kirinyaga Mashariki, wamemkamata mshukiwa mkuu wa utekaji nyara wa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi ya Gatuto Joshua Kerai. Kerai alitekwa nyara Novemba 4,…