Burudani

Welcome to the official KBC Swahili

Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.

Dkt. Ronoh: Kenya haikupokea msaada wa mbolea kutoka Urusi

Katibu katika wizara ya kilimo Dkt. Kipronoh Ronoh, amekanusha madai kwamba serikali ilipokea msaada wa mbolea kutoka Urusi. Kulingana na Dkt. Ronoh, Kenya ilipokea tu mali ghafi  inayotumika kutengeza mbolea…