Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Reli la Kenya (KR) lile la Uganda (URC) zimeimarisha ushirikiano wao katika uchukuzi wa mizigo na abiria kati ya Kenya na Uganda. Majadiliano hayo yaliandaliwa kati ya bodi…