Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa taifa alisema, ujenzi wa barabara ya Kiambu kuwa yenye safu mbili pamoja na ujenzi wa barabara ya moja kwa moja ya Nairobi - Thika, utapunguza msongamano wa uchukuzi.