Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, leo jioni itamenyana na Senegal, maarufu kama Teranga Lions, katika mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayosakatwa nchini Uturuki. Pambano hilo litarushwa…