Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua ameapa kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha kutimuliwa kwake madarakani. Ametaja uamuzi huo kuwa wa kushangaza kwani licha ya kubaini kuwa…