Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taasisi hiyo ya elimu ya juu imezindua bamba la kumkumbuka Kariuki katika bewa lake la Mang’u na kutangaza mipango ya kujenga kituo kitakachoitwa "Dr G.G. Kariuki EGH" katika maktaba yake.