Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa, NCIC imemtaka mbunge wa Homa Bay Mjini Peter Kaluma kufika mbele yake kuhusiana na matamshi anayodaiwa kutoa mwishoni mwa wiki iliyopita akitishia upande…