Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameapa kuafanya kila liwezekanalo ili kuwalinda Wakenya kutoka na kupanda kwa gharama ya maisha ambayo inasababishwa na misukosuko inayoshuhudiwa Mashariki ya Kati. Rais amesema haya mapema Ijumaa…