Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Marais Xi Jinping wa China na Vladmir Putin wa Urusi wameahidi kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Aidha, wameahidi kudumisha umoja wao kwa kuhamasisha ushirikiano katika sekta…