Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Uhispania zinashirikiana katika upanuzi wa fursa za biashara, uwekezaji na ubunifu wa nafasi zaidi za kazi kwa raia wa nchi hizo mbili. Akizungumza nchini Uhispania alipokutana na Mfalme…