Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya, Police FC, wamesajili ushindi wa kwanza msimu huu baada ya kuwalemea wenye APS Bomet FC waliopandishwa ngazi msimu huu. Mechi hiyo imesakatwa katika…