Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri Mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema Kenya na Norway zitaendeleza ushirikiano wao katika maswala ya maendeleo, biashara, amani na usalama. Akizungumza alipokutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa…