Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa Uganda Gloria Bugie anajivumia ufanisi ambao ameafikia katika sekta ya muziki akisema lengo lake ni kushinda tuzo ya Grammy. Alikuwa akizungumza katika mahojiano ambapo alisema angependa kuwakilisha Uganda…