Wakristo kote duniani wanaadhimisha Ijumaa Njema leo inayotangulia siku kuu ya Pasaka Jumatatu ijayo April 21.
IJumaa njema inaamika kwa Wakrito kuwa siku ambayo Yesu Kristo, alisulubiwa na kuangikwa msalabani eneo la Calvary, akafa na kuzikwa kabla ya kufufuka siku ya tatu.
Masii Yesu Kristo aliteswa na kusulubiwa msalabani ili kuwaokoa binadamu kutokana na dhambi.