Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Haruna Kasolo, alisema Rais Yoweri Museveni ameagiza serikali kuwarejesha nyumbani raia wa Uganda wanaokabiliwa na hatari ya kiusalama Afrika Kusini.