Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Marekani Donald Trump atafanya ziara ya siku mbili nchini China mwezi Mei mwaka huu. Kulingana na msemaji wa Ikulu ya Marekani Karoline Leavitt aliyewahutubia wanahabari jana Jumatano, Trump…