Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mgomo uliopangwa kufanywa na wafanyakazi wa usafiri wa anga sasa umesitishwa kwa kipindi cha mwezi mmoja ujao. Hii ni baada ya serikali, kupitia kwa Katibu wa Usafiri wa Anga Teresia…