Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wafanyabiashara katika mtaa wa Greatwall Gardens, Athi River katika kaunti ya Machakos wameandamana kulalamikia ongezeko la vibanda visivyostahili katika mtaa huo na kutatizika kwa biashara halali zinazolipa ushuru. Wakiongozwa na…