Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kuna haja kwa Kenya kuimarisha zaidi maandalizi dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotokea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Visa kadhaa vya ugonjwa huo pia vimeripotiwa katika…