Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imewataka maafisa wake kuwajibika katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza Jumatano katika kaunti ya Mombasa wakati wa mafunzo kuhusu usajili wa wapiga…