Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema taifa hilo halitahudhuria mkutano wa mataifa 20 yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi (G20) utakaoandaliwa Afrika Kusini, kufuatia madai kwamba watu weupe wanadhukumiwa nchini humo.…