Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) leo Alhamisi wamewakamata washukiwa watatu kuhusiana na shambulizi dhidi ya Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi. Seneta huyo alishambuliwa alipokuwa katika mkahawa mmoja…