Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Ksii imeimarisha matayarisho ya kukabiliana na athari za mvua ya El Niño inayotarajiwa kushuhudiwa nchini kuanzia mwezi ujao. Hii ni kwa kuleta pamoja wakulima na wadau…