Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa umma wanaotaka kugombea nyadhifa mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao wanapaswa tu kuruhusiwa kujiuzulu baada ya kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu. Seneta wa Narok Ledama Olekina anasema hatua hiyo itawaruhusu…