Serikali yaanzisha ujenzi wa kilomita 400 za barabara kaunti ya Nyandarua

Waziri wa uchukuzi na barabara Davis Chirchir, alitangaza miradi hiyo wakati wa ziara ya ukaguzi na uzinduzi wa barabara ya Ngorika–Kanjuiri yenye umbali wa kilomita-37.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.