Burudani

Welcome to the official KBC Swahili

Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.

Shakira na Burnaboy kupiga kibao Dai Dai katika ufunguzi wa Kombe la Dunia

Wimbo wa Dai Dai, unalanga kuchangisha dola laki moja za Marekani sawa na Shilingi bilioni 12.9 za Kenya, kugharamia masomo ya watoto na mafunzo ya soka kwa watoto kote duniani.