Kuelekea sherehe ya sita ya kuadhimisha mila na tamaduni za jamii ya turkana waziri wa utalii na tamaduni katika kaunti ya Turkana Francis Mariao Iris anasema sherehe hizi husaidia katika kuunganisha jamii nzima na kuhimiza amani baina ya jamii husika hali kadhalika wafugaji, lakini je, ina manufaa gani muhimu.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/2549c28d-69e6-4b6d-a170-80075a7adaa4