Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kaunti ya Samburu wamewapata mifugo waliokuwa wameibwa na kuwaokoa wafugaji dhidi ya kupata hasara. Baada ya kupokea habari kuhusu wizi wa mifugo, maafisa wa polisi waliojumuisha wale…