Baadhi ya wavumbuzi ambao wamejitolea kusuluhisha suala la mabadiliko ya tabia nchi ni Bobby Rerian. Mvumbuzi ambaye ameanzisha kampuni kwa jina Limitless Mobility inayotengeneza baiskeli za umeme kama njia mbadala ya kupunguza kaboni kwenye angahewa inayotokana na magari na pikipiki za mafuta.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/9fd8dcf3-8ee9-4e26-b58e-c30f60493871