TSC kutangaza nafasi za kazi 20,000 wiki ijayo

Dismas Otuke
1 Min Read

Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC itatangaza nafasi za kazi kwa walimu 20,000 wa shule za Junior secondary kwa mikataba.

Zaidi ya walimu laki moja wanatarajiwa kutuma  maombi kwa kazi hizo.

Afisa Mkuu Mtendaji wa TSC,Nancy Macharia amesema serikali inalenga kutimiza ahadi yake ya kuwaajiri Walimu zaidi ya 50,000 wa Junior Secondary mwaka huu.

Hii inafuatia idadi ya walimu 46,000 wa junior secondary, walioajiriwa maajuzi na serikali kwa mikataba ya kudumu.

Website |  + posts
Share This Article