Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa 6 waliokamatwa kutokana na madai ya kushambulia msafara wa mrengo wa Linda Mwananchi huko Keumbu walikosa kusomewa mashtaka baada ya kufikishwa katika mahakama ya Kisii. Hii ni baada ya…