Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha Democratic Party of Kenya (DP) kimelalamikia vitendo vya uhuni vinavyoendelea kushuhudiwa nchini na kutaka jinamizi hilo kupigwa breki mapema kabla maji hayajazidi unga. Kiongozi wa chama hicho Justin…