Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Isiolo wametoa wito wa kudumisha amani na kuvumiliana kisiasa kufuatia jaribio la kumwondoa mamlakani Gavana Abdi Guyo kupitia hoja ya kumng’atua, ambayo ilitupiliwa mbali…