Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) zimeazimia kuboresha ushirikiano wao kwa manufaa ya raia. Katibu wa Wizara ya Fedha Dkt. Chris Kiptoo amesifia ushirikiano wa muda…