Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari za Umma za Ulinzi, Kanali Chris Magezi, anapinga madai dhidi ya Jenerali Muhoozi, katika makala ya Megan K. Stack kwenye gazeti la The New York Times.