Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha ODM kimelaani kukithiri kwa vurugu katika eneo bunge la Kasipul kuelekea uchaguzi mdogo uliopangwa kufanywa eneo hilo Novemba 27. ODM sasa ikitoa wito kwa asasi za usalama kuwachukulia…