Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wingu la simanzi lilitanda katika kijiji cha Simat katika Kaunti ya Uasin Gishu, baada ya mwili wa jamaa aliyetoweka katika hali tatanishi kupatikana kando ya Mto Sosiani. Mwili huo ambao…