Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ndoto ya klabu ya Simba kutoka Tanzania bara, kutwaa kombe la shirikisho ilitibuka Jumapili jioni baada ya RS Berkane kunyakua kombe hilo kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1. Simba…