Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kahawa West jijini Nairobi wameimarisha msako dhidi ya utengenezaji na usambazaji wa pombe haramu. Msako huo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za…