Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Vikosi vya kijeshi vya Nigeria na Marekani vimemuua kamanda mmoja mkuu wa ISIS, kwenye operesheni ya pamoja iliyotekelezwa Ijumaa. Huku akitangaza habari za kuuawa kwa Abu-Bilal al-Minuki, Rais wa Marekani…