Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe mpya kuhusu makubaliano yaliyofikiwa kati ya Iran na Marekani, akisema alikubali mpango huo licha ya kuwa na msimamo tofauti hapo awali.…