Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa eneo la Magharibi wametakiwa kujiandikisha kama wapiga kura kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Rais William Ruto amelalamikia idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo ambao bado hawajajisajili…