Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kocha wa timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wachezaji saba upande Kevin Wambua ametaja kikosi chake huku akimjumuisha Brian Tanga, anayetwaa nafasi ya Chrisant Ojwang anayeuguza majeraha. Kikosi…