Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na yule wa vuguvugu la Linda Mwananchi Edwin Sifuna wamekutana mapema leo Alhamisi kujadili mustakabali wa upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. …