Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchuano huo ulipigwa Alhamisi alasiri katika uchanjaa wa Ulinzi. Starlets walikuwa kifua mbele kwa magoli 3-0 kufikia muda wa mapumziko kupitia kwa mabao ya Valary Nekesa aliyepachika mawili na Elizabeth…