Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kikosi cha tatu cha maafisa wa polisi wa Kenya kimerejea hapa nchini kutoka Haiti, walikotumwa kudumisha amani chini ya Kikosi cha kimataifa cha maafisa wa usalama (MSS). Maafisa hao 208,…