Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayehusika na maswala ya Forodha, Biashara na Fedha Annette Ssemuwemba, amesema ukuaji wa dijitali umepiga jeki maendeleo katika kanda ya Afrika Mashariki.…