Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameachana na mpango wake wa kutoza ushuru katika Mlango Bahari wa Hormuz. Awali, Trump alitangaza kuwa atatoza ushuru wa asilimia 20 kwa meli zinazopitia…